gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,666 May 17, 2019 #121 Team wachafu baby mnahangaika kweli mmeona domo hamuwezi Jux Kwa pamba kutwa kuvaliana matrack na Jumalukole sasa mmeamua kumchafua the king wa kutupia pamba East Africa
Team wachafu baby mnahangaika kweli mmeona domo hamuwezi Jux Kwa pamba kutwa kuvaliana matrack na Jumalukole sasa mmeamua kumchafua the king wa kutupia pamba East Africa
Tatigha JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 1,957 Reaction score 2,027 May 17, 2019 #122 Ebwanaeeee mkuu hizi kashfa sasa Jamaa_Mbishi said: Wanajulikana sana, usikute V Money ndiyo mume kwa Jux na ndiyo maana Jux alilia kumrudia walipoachana. Click to expand...
Ebwanaeeee mkuu hizi kashfa sasa Jamaa_Mbishi said: Wanajulikana sana, usikute V Money ndiyo mume kwa Jux na ndiyo maana Jux alilia kumrudia walipoachana. Click to expand...
kilwakivinje JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 6,184 Reaction score 9,407 May 17, 2019 #123 Dreka said: faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu. my take : Tupambane tuukimbie umasikini. Click to expand... Mkuu pole kwa hizi tuhuma zinazokukabili pambana kujisafisha Mimi shabiki yako sana
Dreka said: faida na hasara za umasikini, utajadili kila kitu kilicho mbele yako, hata vile ambavyo havikuhusu. my take : Tupambane tuukimbie umasikini. Click to expand... Mkuu pole kwa hizi tuhuma zinazokukabili pambana kujisafisha Mimi shabiki yako sana
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 9,626 Reaction score 6,731 May 18, 2019 #124 Tatigha said: Ebwanaeeee mkuu hizi kashfa sasa Click to expand... Kashfa, unashangaa vijana wa Dar?
Zuriel_cfc JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 4,092 Reaction score 9,063 May 18, 2019 #125 Kwa hyo mwanaume akiongea na mwanaume mwenzake kwny video call ni shoga? Au kutabasam ndo ushoga?