babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
hawa jamaa usalama wataangalia saa ngapi?wamesahau kazi iliyowapeleka wamekuwa mapaparaz,kweli bongo kuna amani duh.
na huyu mwongoza TV ya Uwanja wa Taifa alichemsha sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha haaanawaonea hadi huruma. huu ugeni wa technologia huu jamani...tukipata kidogo tu tushalimbuka haoooo sasa visimu vya elfu hamsini ivyo wanamringishia nani?
Kweli, ndio bongo hata power tiller!?!nawaonea hadi huruma. huu ugeni wa technologia huu jamani...tukipata kidogo tu tushalimbuka haoooo sasa visimu vya elfu hamsini ivyo wanamringishia nani?
nakwambia balaa tupu yaani kila kukicha ni visa vitupu kunzia rais mpaka na wananchi wote,tanzania imekua kama jumba la zecomedi maana kila siku ni vioja tu hakuna aliye serious na kitu chochote.Khaaaa nimecheka sana, hao walinzi wamegeuka paparazi na hawajui tena jukumu lao la ulinzi. Hongera kwa kijana aliyeweza kingia uwanjani bila kipingamizi chochote na kutimiza ndoto yake ya kukutana na kaka uso kwa uso.. hongera sana. Na hio screen we achaa tuuu ... ndio bongo hio,,, kigugumizi lazima !!!!
nawaonea hadi huruma. huu ugeni wa technologia huu jamani...tukipata kidogo tu tushalimbuka haoooo sasa visimu vya elfu hamsini ivyo wanamringishia nani?
ha ha haaa
...Kimya sana mzee wa macho..kwema lakini??😛ound::sick:Teh teh teh! Poor them...! Kamba mambo yenyewe ya teknolojia yalikaa hivi hizo nyimbo za taifa zingetoka bomba kweli?
hahaa haaaa...!!!! kweli wewe ni MASIKINI JEURI.Usiombe tena mbona afadhali hao; kuna tukio la kiakanisa nilihudhuria hivi karibuni amabako kwaya zilikuwa zinaimba; alianza moja na kisimu chake cha mchina kufumba na kufumbua watazamaji tukazibwa kwani waliokuwa mbele yetu ni wapiga picha na simu zao! aaargh.............ilibidi niingilie kati na kwenda kuwasema palepale!
Bora wewe umeliona hili mapema!!sina hamu,,wao adi kiranja mkuu tatizo tupu
Hakuna cha priorities ni ushamba tu unawasumbua! Ni kutaka kujionesha kwamba "na mimi nimo"! Kwisha!Ni vizuri ilivyoanza kujadili wajibu wao kwamba walijisahau. Lakini habari za teknolojia asiwepo wa kuwaponda kila mtu ana priorities zake. Kutembelea Bajaj au Prado ni mipango ya mtu