Picha kali ya leo

hata wao wanahitaji kuondoa stress so waacheni. kwani kuna kitu kiliharibika siku hiyo?
 
Hamna!
Tatizo wabongo tumezidi mizaha. Bongo Seriousness hakuna kabisa........ yaaani full mizaha, kila sehemu ni mizaha tu. Ee Mungu utuongezee maarifa maana tunadhalilika.
Haya bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…