Picha Kali

Vp kiongozi iv kampuni gani mzuri naweza nikanunua machine hii nataka nianzishe biashara ya kukata miti na mbao
Kama unataka machine kazikazi ya kupigia kazi muda mrefu,basi tafuta katika majina haya mawili,husqvarna au stihl.Hiyo unayoiona hapo ni stihl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…