Hiyo ndiyo inayofanyika siku zote za kampeni zake, Anasomba watu kibao na magari mengine ya watanzania wanafiki au watu wenye maslahi binafsi yanasomba watu wengi kupeleka kwenye kampeni.
Kwa kifupi umati wa JK ni wa kununua maana zaidi ya kupewa usafiri wanalipwa kuanzia 5000 hadi 10,000 kwa watu wa kawaida na nguo ndo usiseme.
lakini kampeni za Dr. Slaa na wenzake ni dry watu wanakuja wenyewe kusikiliza.
Ni hatari sana kwa sababu ile kwanza ni rushwa ambayo hata PCCB wenyewe wamefungia vioo.
Pili malori hayaruhusiwi kubeba watu, lakini polisi wanakodolea mimacho tu,
Ndo hali halisi, oinayotusukuma kuona kuwa MABADILIKO MWAKA NA KUENDELEA LAZIMA YAWE YA DHATI KABISA
Dr. SLAA HAKUNA KULALA!!!!!!!
LAZIMA CCM WANG'OKE