"Akiwa UK na ni nchi yenye sheria zake anapaswa afate tu au ahame'-
@Ishmael
Hivi umejuaje kama mwafrika ndio kaolewa na sio aliyeoa?
Angalia alieshika ua. Bibi harusi ndie anaeshika ua.
mke ni yupi sasa hapo au wote ni wake
Huu uzi umenipa sensa ya mabwabwa ya JF yanayoshabikia hili senge ni la Chuga wakati wanaambiwa si kweli na ushahidi wanapewa!
..wakiongozwa na ankali shoga warumi!
Kweli Mkuu hawa jamaa wana wivu sana na sisi chali wa ara chuga hawezi fanya huo ujinga
Nini wewe Mhadzabe naona leo umekomaa na wajanja wa A City.
Hii dunia haina muda mrefu itachomwa moto."Mcheni Mungu na kumtukuza kwa maana maana saa ya hukumu yake imefika".