Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,363
75 percent ya hao wamefuata bongo flava, 20 percent wamekuja kumuona Kikwete, 5 percent ni wale wanaopenda kusikiliza sera.
umechapia,,,,
fulana za bure
kampigie kura dakta weweeeeeee!Kombati za mradi-Unachezea chagga wee, uchaguzi ukimaliza na wao washauza kombati kibao-Akili kumkichwa mazee
75 percent ya hao wamefuata bongo flava, 20 percent wamekuja kumuona Kikwete, 5 percent ni wale wanaopenda kusikiliza sera.
kwa kweli sisi hatuhitaji:Hiyo nyomi ni balaa, no malori, no buku 5, no bongo flava, no fulana, no kapelo...watu wamekula boda tu!
Nakuachia nchi Dr. Slaa!!
Mkuu hamna kitu hapo, wenye mvuto ni wakina Chege,Marlow,The comedy na wasanii wengine wanaoambatana naye. Kwa jinsi watu walivyopigika maonyesho ya wasanii aina hiyowengi wanayasikia kwa wenzao.Tuseme kweli hata pamoja na malori bado JK anamvuto na yeye....