Elections 2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

Mzee Mwanakijiji;
"Tuseme kweli hata pamoja na malori bado JK anamvuto na yeye...."

Hilo halina ubishi.
hili lina ubishi mkuu wewe hujui hal halisi ya pale/// watu hawajawahi kuwaona zekomedi live
 

wewe fikiria mtu utakuta hana la kufanya ataacha kwenda kuchukua mtisheti wa bure na mkofia? tunajua kabisa idadi kubwa ya watz kununua nguo ni ANASA sasa ataacha kwenda na kusikiliza mziki na wakati mwingine anapewa buku tano au kumi ...tuweni wakweli tu na hali halisi
 
Tuseme kweli hata pamoja na malori bado JK anamvuto na yeye....

Mzee, hivi kweli tunahitaji kupiga kura kwa kuangalia mvuto wa mgombea? Kwa maoni yangu mvuto huo wa kujaza watu ambao wamesombwa na malori na mabus kutoka makwao si mvuto wa kweli.
 
Peleka kura yako kwa Slaa, albamu tutaangalia baadaye, tushughulikie kwanza masuala ya kitaifa au sio bro...
 
Nasikia watoto wa shule kibao waliflazimishwa kufunga shule ili waende kufunika, na malori yote yalisomba watu
Jiulize Dr. Slaa umati wake huletwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…