Picha: Kim Jong Un na binti yake Kim Jung Ae kwenye mazoezi ya kufyatua risasi

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kiongozi wa North Korea, Kim Jong Un, pamoja na binti yake walionekana wakifyatua risasi za bastola wakati wa ukaguzi katika kiwanda cha kutengeneza silaha ndogo, kulingana na picha zilizochapishwa na vyombo vya habari vya serikali Alhamisi.

Shirika rasmi la habari la serikali, Korean Central News Agency, lilisema Kim alitembelea kiwanda kinachozalisha bastola na silaha nyingine ndogo siku moja kabla na kukagua bastola mpya ambayo hivi karibuni imeanza kuzalishwa.




 
Like father like daughter 🙌

Binti ameandaliwa kuwa Rais ajaye wa North Korea
 
Uyu jamaa kuna time namuonaga mduanzi tu kama ameamua kuishi maisha yake.Aishi tu

Aishi tu sasa ana release hizo pictures hili iweje kiufupi.

Uyu dogo kim anapenda attention
 
Mwanangu sasa inabidi kumuwahi uyu binti mapema , shida mkwe mbabe sana , ila hakuna namna
 
Watu wamejiandaa na utawala wa binti ghafla anaibuka kijana wake mkorofi zaidi ya baba mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…