Picha: Kim Kardashian akodi uwanja kwa sh. Millioni 200 kwa birthday ya mumewe Kanye West

Atlantis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
383
Reaction score
513
there are some very rich people hapa duniani, yani anapeperusha milioni milioni 200 kwa siku moja tu :teeth::thinking:

=======================================

Chanzo: bongo scoops
 
Attachments

  • 3ceaf550-0e4d-11e5-b8c5-e58704f43841_Kanye-West-Birthday-2.jpg
    23.5 KB · Views: 1,050
  • 36377300-0e34-11e5-b3fa-b387a4ff6f8b_Kanye-s-Birthday-Party-2.jpg
    29.9 KB · Views: 1,019
  • 6df0a6f0-0e3d-11e5-9af9-77a91c3656dc_Kim-Kanye.jpg
    19.9 KB · Views: 1,004
  • 3605dbb0-0e34-11e5-bfc7-6b75199f8e9b_Kanye-s-Birthday-Party-1.jpg
    17.8 KB · Views: 1,001
dola imepanda, last time i checked ilikuwa about 2000 shs na ushee, just raw calculations
 
Asante kwa taarifa
 
Dinazarde yani hata mi uwa nawaza ivo huu msoto naopata afu naadhibiwa sawa na kina Kim,Bey kweli????
Mungu tunaomba hili uliangalie kwa jicho la tatu

Hahaha hahahaha... Kweli aiseee
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde yani hata mi uwa nawaza ivo huu msoto naopata afu naadhibiwa sawa na kina Kim,Bey kweli????
Mungu tunaomba hili uliangalie kwa jicho la tatu

Hahaha!!! Ila ninahisi adhabu zinawezekana zikatolewa kimagroup maana haitakuwa haki wote tupate adhabu sawa
 
Last edited by a moderator:
Halaf eti tukifa adhabu Kule jehanam ziwe sawa,hakika Mungu hayupo sawa,ndio maana Kiranga haamini kama Kuna Mungu

Mi naamini tukifa tunaenda kwenye dunia ya pili 'fainali', yaani aliokuwa wanakula bata dunia hii kule wanaenda kupigika mbaya, halafu si tunaosugua benchi now kule tunaenda kula kuku kwa mrija, then baada ya Mungu kubalance hilo ndo tunaelekea kwenye adhabu. So usijali dada, kula msoto sasa ukule bata baadae
 
Last edited by a moderator:

mmmmh nani alikuambiaa???,Ina maana wanaokufa wanaenda kuzaliwa upya dunia ya pili,nani alikuambia vilee,wakati baada ya kifo ni hukumu
 
Dinazarde yani hata mi uwa nawaza ivo huu msoto naopata afu naadhibiwa sawa na kina Kim,Bey kweli????
Mungu tunaomba hili uliangalie kwa jicho la tatu

hasa tunaopata shida duniani hasa Africa inabidi tukifa watupeleke pepon tu
 
Last edited by a moderator:
Halaf eti tukifa adhabu Kule jehanam ziwe sawa,hakika Mungu hayupo sawa,ndio maana Kiranga haamini kama Kuna Mungu

Wanavyosema wote tunaenda peponi may be ni kauli za maskini kijifariji
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…