Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Kuna kipindi alikuja D.I.T kuulizia form ya kujiunga.
Ni wa kawaida sana ila sijui kampa nini huyo Mzungu! Watajuana wenyewe.
Nashangaa anataka kuolewa na mzungu,wakati last time alikua anatoka na msanii mshamba anaitwa TOX STAR..
Huyu apa huyo mdenmark ana ngozi kama nguruwe, cheus dawa kafuata mchele tu apa maana mzungu sura ka nguruwe wa kule kimbiji kwa babu
Wema has been engaged since 2010 till today she is still engaged, please mama ubaya u are not LORD OF THE RING, return that keys holder kwa ndomo
Nashangaa anataka kuolewa na mzungu,wakati last time alikua anatoka na msanii mshamba anaitwa TOX STAR..
Huyu apa huyo mdenmark ana ngozi kama nguruwe, cheus dawa kafuata mchele tu apa maana mzungu sura ka nguruwe wa kule kimbiji kwa babu
Binamu hakuna picha ya guta... .......