House4Rent Picha:Kuna Nyumba Ya Kisasa kigamboni

House4Rent Picha:Kuna Nyumba Ya Kisasa kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,079
Reaction score
2,152
jumla ya vyumba ni vinne ,master Mbili
+Sebule+Dining Room+jiko+stoo
+tank maji +fensi na Parking

Ipo mikadi kigamboni

Bei: Tsh. Laki 5 kwa mwezi (malipo ni mwaka)

Dalali yangu ni mwezi mmoja

Mob:+255 718 295 182
--------------------------------
Bango

9c23a509af786a6292c4ac64896e9398.jpg
d599c8914db1a23bf40affa623ef320e.jpg
 
Hebu tuone picha zake....

Manake kuna moja hiyo ipo Makumbusho imewekwa hapa eti inauzwa kwa milioni 160 lakini nyumba yenyewe ukiiangalia inaweza hata isifike milioni 30!
 
Hebu tuone picha zake....

Manake kuna moja hiyo ipo Makumbusho imewekwa hapa eti inauzwa kwa milioni 160 lakini nyumba yenyewe ukiiangalia inaweza hata isifike milioni 30!
Hizo mkuu jionee mwenyewe
 
Back
Top Bottom