BANGO JEUPE
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 3,079
- 2,152
Hizo mkuu jionee mwenyeweHebu tuone picha zake....
Manake kuna moja hiyo ipo Makumbusho imewekwa hapa eti inauzwa kwa milioni 160 lakini nyumba yenyewe ukiiangalia inaweza hata isifike milioni 30!
Hizo mkuu jionee mwenyewe
Mbona hiyo be kawaida sana mkuuKheeee!
Yaani hiyo ndo inauzwa kwa milioni 210?
Lordy lordy!