Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na walinzi wa viongozi wa TANU.
Picha ya tatu ni Julius Nyerere na Bi. Titi Viwanja Vya Jangwani wakihutubia mkutano wa hadhara.
Picha ya nne ni picha aliyonipiga Mzee Shebe mwaka wa 1953 kwenye studio yake Mtaa wa Livingstone na Kipata.