Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na walinzi wa viongozi wa TANU.
Picha ya tatu ni Julius Nyerere na Bi. Titi Viwanja Vya Jangwani wakihutubia mkutano wa hadhara.
Picha ya nne ni picha aliyonipiga Mzee Shebe mwaka wa 1953 kwenye studio yake Mtaa wa Livingstone na Kipata.
View attachment 2132603
Katika hiyo picha hata 100 hawafiki ambao ni wanaishi. Na ndio maisha yalivyopicha ambayo mnazi mmoja wenyewe unaonekana imenitafakarisha sana.
nimevuta hisia kwamba nusu na robo ya huo umati haupo duniani kwa sasa, walishakufa.
na sisi wa kizazi hiki sote tutakufa, tutaiacha dunia na pilikapilika zake.
PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na walinzi wa viongozi wa TANU.
Picha ya tatu ni Julius Nyerere na Bi. Titi Viwanja Vya Jangwani wakihutubia mkutano wa hadhara.
Picha ya nne ni picha aliyonipiga Mzee Shebe mwaka wa 1953 kwenye studio yake Mtaa wa Livingstone na Kipata.
View attachment 2132603
Smarte,picha ambayo mnazi mmoja wenyewe unaonekana imenitafakarisha sana.
nimevuta hisia kwamba nusu na robo ya huo umati haupo duniani kwa sasa, walishakufa.
na sisi wa kizazi hiki sote tutakufa, tutaiacha dunia na pilikapilika zake.
Mzee unaonekani ulikuwa na SWAGA kwelikweliPICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE
Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954.
Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe.
Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na walinzi wa viongozi wa TANU.
Picha ya tatu ni Julius Nyerere na Bi. Titi Viwanja Vya Jangwani wakihutubia mkutano wa hadhara.
Picha ya nne ni picha aliyonipiga Mzee Shebe mwaka wa 1953 kwenye studio yake Mtaa wa Livingstone na Kipata.
View attachment 2132603
Tzhosts,Mzee unaonekani ulikuwa na SWAGA kwelikweli
Mbona Bibi alikuwa MZIGO WA jkn.kwenye sherehe yake ya kuzaliwa jkn 1997,jkn alimkumbatia kwa furaha na wakakisiHivi Kwa ukaribu waliokua nao nyerere na bi titi. Jkn hakula mzigo kweli?