je kwa sisi ambao tumezaliwa na sura za kutisha ambazo hazina mvuto wowote-ambazo mtu akituangalia kupitia picha anaweza kutu-judge vibaya-just kwa sababu ya sura zetu -huoni kuwa picha hapo zitakuwa hazitundei hakiNI sahihi kabisa. CV na barua vinasaidia kutambua education, picha inatambulisha general appearance. test ni competence on the specifik job na interview ni kuona confidence yako na namna unabehave wakati wa stress.
Kuna baadhi ya kampuni wanatoa vya picha coz watakuona wakati wa interview ila kama kampuni inalazima ya mtu good looking ao kama inahisi candidates watakua wengi sana basi wanaleta hiyo ya picha kuanza kuchuja mapema.
Good looking sio handsome. good looking ni msafi, na anavaa professional for the job. ukituma ka picha ka hovyo tayari wanapata picha... (so to say)
je kwa sisi ambao tumezaliwa na sura za kutisha ambazo hazina mvuto wowote-ambazo mtu akituangalia kupitia picha anaweza kutu-judge vibaya-just kwa sababu ya sura zetu -huoni kuwa picha hapo zitakuwa hazitundei haki
Tena nzuri ni ile aliyokuwa amekula dawa za kulevyakm sura inatisha sana kajaribu kuomba hata picha ya mzee wasira ili uitumie.
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye matokeo ya mtu kwa nini wahitaji picha ya muombaji,na kama swala ni kuona sura za waombaji-si bora wasubirie siku ya interview waangalie watu wao-maana kwa mtindo huu wa kutuma picha wanafanya kuwe na gharama nyingine mpya za kuwa na lundo la passport size nyingi ili kila organization it....picha zinasaidia kwenye kuchakachua. Imagine shemeji yako kakupa pande kwa best yake, jina pekee haitosh coz anaweza sahau. So ikitumwa na picha inakua rahc kukumbuka.
kama unangeu za kutosha tafta ya nduguyo, mi sidhani kama kuna mantiki yoyote kutaka picha wakati wa maombi ya kazi! Ukipata ajira ni sawa!utakuta nanga yenyewe inapaa hata vijisenti vya kufotoa picha ngumu kupata, kampuni kama 3 ulizoonba kazi wanataka picha, yaani mtu UNAWEZA kutoka kimara mpaka posta kusaka ajira by foot! hela ya nauli umepigia picha, wakiwaita kwenye intrv si wanawaoga?ungetakiwa uwe jeshini see bellow for your referenceView attachment 34120
km sura inatisha sana kajaribu kuomba hata picha ya mzee wasira ili uitumie.
Nimekutana na nafasi za kazi zinamtaka muombaji atume picha ndogo moja ya rangi (passport-size)
naomba kama kuna mwenye uelewa wa kazi za hizi picha anifahamishe-maana kama wao wanabase kwenye matokeo ya mtu kwa nini wahitaji picha ya muombaji,na kama swala ni kuona sura za waombaji-si bora wasubirie siku ya interview waangalie watu wao-maana kwa mtindo huu wa kutuma picha wanafanya kuwe na gharama nyingine mpya za kuwa na lundo la passport size nyingi ili kila organization itakayo kuwa inahitaji picha uzitume