Picha: Lady jaydee kuja na perfume yake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari njema kwa wale mashabiki wa muziki wa lady jaydee pamoja na ma haters wote, kama inavyoonekana kwenye picha , kama hujui kusoma nitakusaidia ku translate maana wengine ata ku google hawajui kazi umbea tuu. habari za jide kuachika zilienea dunia nzima ila habar za mafanikio makubwa kama haya watu wanajifanya hawaoni. habari mupya mujini ndio hiyo.BIG UP COMMANDO
 
Attachments

  • 1421608749820.jpg
    48.3 KB · Views: 3,611
Habari njema lakini imeletwa kishari-shari sana.
 
1st fragrance by lady jaydee

Big up to her

Ingawa ni oriflame
 
Sio perfume yake bana jide ameteuliwa kuwa balozi wa oriflame kutangaza izo bidhaa za oriflame lakini sio eti perfume ni yake ni mali ya oriflame yeye anatangaza tu brand
 
Sio perfume yake bana jide ameteuliwa kuwa balozi wa oriflame kutangaza izo bidhaa za oriflame lakini sio eti perfume ni yake ni mali ya oriflame yeye anatangaza tu brand

umeniwai...:thumbup:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…