PICHA: Laudit Mavugo aorodheshwa kwenye kikosi cha Vital'O cha msimu ujao.

PICHA: Laudit Mavugo aorodheshwa kwenye kikosi cha Vital'O cha msimu ujao.

lil wayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
992
Reaction score
904
Jamani kunani huko! Mbona mambo hayaeleweki eleweki. Kama mauza uza.

Inasemekana Jamaa hajamaliza mkataba na Vital'O. Baada ya kuaga club yake Vital'O kufanya Trial huko Ufaransa, nasikia Jamaa hajaripoti klabuni kwake. Na badala yake, moja kwa moja akatua Bongo kuja kufinish deal ambalo lina Zengwe.

Taarifa za chinichini zinasema Jamaa kawaambia akina Hans POPE kuwa mkataba wake na Vital'O umemalizika, hivyo wakaamua kumwagisha wino mwanawame..

Ila picha bado halijaisha, but inaonekana stelingi huenda akafa kwenye picha hili.

1470855421464.jpg
 
Hahaaaa msimbaziii wamefeliii mpwaa

Msikiee hanshope Leo kadaiii mavugoo alikuwa NA mkataba NA raisi wavitalo sioo vitaloo

Swalii anachezea timuya rais AMA ya vitaloi kwikwiii
 
Back
Top Bottom