Picha: Lulu baada ya kuachana na majizzo

galton

Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
80
Reaction score
126
Mmh!! Mama nyonzo sio kwa muonekano huo aiseeh, yani umepauka utafikiri misukule ya gwajima, halafu hiyo camera uliyotumia sijui ni tecno wereva maana siilewi aiseeh, dah inabidi tu ukaroge tena urudi kwenye level zako
 
kila jambo na wakati wake.

miaka inasinga.....hakuna ubaya wowote..niumri tu baaasi.
 
Aah muite mama G bana umesahau ndio alikua anajiita hivyo.

Ila kamera nimeipenda bana imeparaza hadi ka love sport daah ishukuriwe 360
 
Natural beautiful onyinye! Aende kwa Kibakuli sasa
 
Mmh!! Mama nyonzo sio kwa muonekano huo aiseeh, yani umepauka utafikiri misukule ya gwajima, halafu hiyo camera uliyotumia sijui ni tecno wereva maana siilewi aiseeh, dah inabidi tu ukaroge tena urudi kwenye level zako
Watoto wa kaskazini wazuri jamani khaaa, walahi sihami huku!!!
 
mbona mie sioni picha ?? ama hii huawei yangu kimeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…