Picha: Mabaraza huru ya CHADEMA, rasimu ya Katiba Mpya - Timu ya mwenyekiti

Picha: Mabaraza huru ya CHADEMA, rasimu ya Katiba Mpya - Timu ya mwenyekiti

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Wakati Mwigulu akiendelea kuwaburudisha wananchi wa jimbo lake na Simba; kitendo kilicho waudhi washabiki wengi wa simba wenye itikadi tofauti. Makamanda wa CHADEMA wameendelea kutoa elimu ya uraia kwa wananchi katika mchakato wa katiba. Mchakato amboa utakuwa ni muelekeo wa taifa letu.

GODD BLESS CHADEMA, GOD BLESS TANZANIA

Mbowe katiba0.jpg
Mbowe katiba9.jpg
Mbowe katiba7.jpg
Mbowe katiba5.jpg
Mbowe katiba3.jpg
Mbowe katiba4.jpg
Mbowe katiba2.jpg

Source: http://chademadiaspora.blogspot.com/2013/08/picha-mabaraza-huru-ya-chadema-rasimu.html
 
hatuna haja na picha. tunataka kujua maoni ya hao wananchi. au ndo wanajitafutia uhalali wa kumega ruzuku za chama
 
Chadema inatekeleza wajibu wake ipasavyo kwa wananchi ila hofu yangu je tume ya katiba inaweza kuyafanyia kazi kweli maoni ya wananchi ipasavyo?
 
Ndugu yangu Lizaboni angalia usije kupata kifafa cha MIMBA, manake naona umati wa nguvu ya UMMA umekurusha roho mpaka unashindwa kupumua vizuri. Umewekewa picha kwasababu nyie watu wa Chama Cha MATEJA (ccm) ni MATOMASO, hamuamini bila kuaminishwa. Sasa ukipenda iangalie ukichukia CHAPA LAPA Hiyo ndiyo NGUVU YA UMMA.
 
...kifafa cha MIMBA.!!!!!!! mmmnnhhh.
 
hatuna haja na picha. tunataka kujua maoni ya hao wananchi. au ndo wanajitafutia uhalali wa kumega ruzuku za chama

Kama hujui utaratibu wa kukusanya maoni kwa ASASI mbali mbali ni kwamba kila asasi imependekeza jinsi ya kutoa maoni yake na CDM wao huu ndioyo utaratibu wao na tume waliuukubali, baadae usije kupiga kelele kwamba utaratibu wa CDM haufai, utaonekana kioja mbele ya tume kwani ulipaswa kupiga kelele kabla haujatumika ili tume waukatae.Imekula kwenu nyie mlitoa waraka wa ccm mbona hamjajadiliwa???
 
Kwa umati huu bado ccm wanajifariji kuwa kuna siku watashinda kihalali....haiwezekani....nchi imeondoka hii, bado usajili wa daftari la wapiga kura, kazi itakuwa kubwa sana....HONGERA MWENYEKITI, HONGERA CHADEMA....KAZI NZURI SANA. KEEP IT UP GUYZ....!!!
 
Back
Top Bottom