Picha: Mabinti wa Museveni ni Waganda kweli?

Picha: Mabinti wa Museveni ni Waganda kweli?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Picha:Mabinti wa museven ni pisi kali balaa hawa kiasili ni waganda kweli?

Mmeona pisi kali za mzee baba? Hawa ni waganda kweli kiasili maana wanafanana na watu wa Rwanda kwa asilimia 100%

Ila ni pisi kali balaa[emoji1313]

1385df3126a37b30580d9530b25837c2.jpg
ffe667b74a05ee2479b62cf0dd7120c9-696x696.jpg
ce9eff5b67b8f711104f2d56e4c598ca.jpg
df476ce78bbd1d46f61c1925b05debfe.jpg
 
akifa baba yao watakuwa na maisha mabaya,, maana Nchi itaingia kweny mgogoro wa kugombea nafasi ya urais,
Museveni ajaandaa mazingira mazuri ya kupokelezana madaraka, ni Bora angeandaa mtu wake then yeye astaafu mapema kwa amani,
 
Unafahamu cheo cha mtoto wake wa kiume jeshini ??

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
najua mleta mada anataka aseme kuwa ni pisi kali kama wanyarwanda but kwa sie ambao tushawahi kukaa kigali hao watoto ni wa kawaida sana
acha izo mkuu hao madem ni wakali nani product Kama za Rwanda mtoa mada angeleta picha bila maelezo ndo ungeelewa
 
Back
Top Bottom