Picha: Maboga ya Diamond Platnumz...

Maboga kama haya hapana...

Vijana wa kileo kinachotusumbua ni ubinafsi tu hakuna kingine,mshukuru mungu maybe ww hujalelewa either na mama wa kambo or baba wa kambo hv vitu ni vya kawaida labda sijui umri wako ila kuwa uyaone,50% ya watanzania kama hujalelewa na mama wa kambo basi baba wa kambo,au jiulize unapomtelekeza uliyempa mimba atalea na nan sasa,hutonielewa but ukikuwa unanisoma sana
 
Kuna jamaa yangu yeye kalelewa na baba wa kambo, baba yake alimkataa tangu yuko tumboni.. kasomeshwa, form 4 akafeli.. sasa yupo kitaa.. kilichonishangaza kanitumia picha ya maboga ya Diamond kupitia whatsapp akimdiss Diamond.... mpaka sasa sijui anawaza nini...
 
Zali ni mwanamke mzuri sana tena sana hiyo picha imeonyesha utulivu wa hali ya juu
 
Mbona liko wazi jamani!!
Kwani hamjui kua 'anayevuta tawi na majini ni yake pia'
So hayo ndio majani yenyewe!
 
Kijana amesahau alikotoka,mbaya sana unapokutana na binadamu anayesahau historia,ili lilitakiwa kuwa funzo kubwa sana maisha yake yote,ajifunze upendo cos hata yeye alikuwa boga jamaa akajitusha akasonga nalo mbele kwa mbele
 
ni shidah, nashukuru Mungu kuepukana na kero za kuitwa baba wa kambo
Asilimia 49 wanaume wamebambikiziwa watoto, kunauwezekano mkubwa ikawa wewe ni baba wa kambo tu. Kwa watoto aliozaa mkeo.
 
ni shidah, nashukuru Mungu kuepukana na kero za kuitwa baba wa kambo

Cos bado unaishi chini ya jua,huwezi sema hayo maneno,na wala sio kelo kama unavyoiita ni upendo tu waliojaliwa nao watu wachache,uomba mungu akupe uhai utayaona
 
Inaonenakana baba na watoto wanalingana!
 
Kanuni ya maisha:aitwaye mke/mume na mzazi wako basi ujue bila ubishi ni mama/baba yako.
 
Lakini na wengine wanaishi na wanawake wasiolea ila wamezaa zaidi ya watoto 10 na unalikuta lijitu linajisifia kuwa demu wake hana mtoto( maana kutoa mimba ya miezi 4,5,6,na 7 ni kuzaa kabisa na anapita palepale na unakuta wengine papuchi zao ni kubwa kuliko waliozaa na kulea)
 
Ukiwa na mama malaya utaletewa baba mpya kila siku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…