Pre GE2025 PICHA: Machawa wa ankali (Dkt. Mwinyi) na Generation Samia (GEN S) washirikiana kuandaa Pilau Day Zanzibar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao

==

Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana katika uwandaaji wa hafla ya Pilau Day iliofanyika katika viwanja vya mnara wa kisonge Zanzibar.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

IMG_3191.jpeg
IMG_3192.jpeg
IMG_3194.jpeg
 
Hawa subiri tu atokee Kapteni Traole huko JW. Unawapeleka kambini wote alafu kinachofuata ni kuwa deploy Mashariki mwa Congo wakajifunze maana ya uzalendo ni kulipenda Taifa na sio kuwa chawa kwa mtu au chama.
 
Wakuu

Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao

==

Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana katika uwandaaji wa hafla ya Pilau Day iliofanyika katika viwanja vya mnara wa kisonge Zanzibar.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Nchi gani huko?
 
Tunaendelea kuwaorodhesha tu ipo siku na haiko mbali watawajibika kwa ujinga wao wa kulifedhehesha taifa na kuonekana kuwa taifa lina vijana wa hovyo.
 
Wakuu

Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao

==

Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana katika uwandaaji wa hafla ya Pilau Day iliofanyika katika viwanja vya mnara wa kisonge Zanzibar.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Hivi hawa wanaojiita chawa ipo siku watakuja kutamani kugombea Urais au Ubunge?
 
Back
Top Bottom