Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Nchi gani huko?Wakuu
Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao
==
Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana katika uwandaaji wa hafla ya Pilau Day iliofanyika katika viwanja vya mnara wa kisonge Zanzibar.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tunaendelea kuwaorodhesha tu ipo siku na haiko mbali watawajibika kwa ujinga wao wa kulifedhehesha taifa na kuonekana kuwa taifa lina vijana wa hovyo.Wakuu
Machawa wameunganisha nguvu mpaka kisiwani na kushiriki Pilau Day. Hawa wanasiasa wanachukulia poa uchawa lakini baadae utawageukia baada ya wananchi kuamua kubadilika na kuupizia porojo zao
==
Vijana wa ankali (Dkt. Mwinyi) kwa kushirikiana na Generation Samia (GEN S) Washirikiana katika uwandaaji wa hafla ya Pilau Day iliofanyika katika viwanja vya mnara wa kisonge Zanzibar.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi hawa wanaojiita chawa ipo siku watakuja kutamani kugombea Urais au Ubunge?Wakuu