refer Hasheem ThabitBichwa litamjaa ajione staa ashindwe ku perform
huo ndiyo utamaduni wa mastaa wa kitanzania.
Viongozi wa TP Mazembe, na Tajiri wao Wakimsubiri Mbwana Makatta kuwasili Uwanjani, Uwanja Umejaa haswa...
Tajiri wa TP Mazembe Moise Katumbi Chapwe aikimuta Samatta kumtambulisha rasmi kwa Viongozi na Mashabiki wa Timu Hiyo. Samatta amenunuliwa na TP Mazembe kwa Dola $ 100,000 toka Simba. AJABU KWELI SAMATTA KAVAA KANDAMBILI OH MTANZANIA!!!
Mbwana Makatta akiwasili Uwanjani huko Lumbumbashi.
Hivi ni Mbwana Makatta au Mbwana Samatta?