Hyo picha ya pili kuna eneo Bukoba mjini barabara ya jeshini kupitia Chemba kuingia hamgembe Kuna mtelemko wa maana na nyumba unakuwa unaziona ziko chini barabara hipo kwa juu deer a ukikosea kidogo inakuwa kama kwenye picha ya pili. Nilijuwa nimaeneo hayo.