Picha: Majizo awajibu wanaosema kaachana na Lulu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila wanazengo huyu mbwa kajua kutuumbua wambea sie, wenzao tulijua ndoa ndo kushnei kumbe mapicha picha tu wanatuchezea, mxieew ... sasa lulu na wewe kujichetua juzi na ma video kujifanya una stress mxieew zako ..

Ila I bet , there is something wrong kwenye mahusiano Yao ni vile tu they want to handle it privately , kwa video nilizoona juzi za Lulu it’s obvious kako na stress na Sijui huko Nairobi alienda kufanya nini for only two days mmh , yajayo yanafuraisha, sie wambea yetu macho .


Baada ya wanazengo kuvumisha kuwa wawili hao wameachana, majizo ameibuka na kupost picha ikimuonyesha akiwa na Lulu huku akiweka caption “Komaa na size yako just like that “
 
Kumbe ilikua zuga? Afu uzi huu ungekuwa ni wa kuelezea kuwa wamemwagana basi mpk sasa ungekuaa na replies kama 1K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…