Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu, kiitifaki wapi anatakiwa kutumia wadhifa wa urais endapo rais aliyemuwakilisha hayupo?Makamu wa rais ni rais kwa niaba yake,nje na ndani ya nchi.
Anaacha majukumu machache sana,a kikaimu au akimwakilisha rais nchi nyingine.
rais asipokuwepo nchini.Sawa mkuu, kiitifaki wapi anatakiwa kutumia wadhifa wa urais endapo rais aliyemuwakilisha hayupo?
Popote alipo yeye, Ni naibu Rais wa JMTSawa mkuu, kiitifaki wapi anatakiwa kutumia wadhifa wa urais endapo rais aliyemuwakilisha hayupo?
Naamini tupo wengi tusiofahamu hili, binafsi nitashukuru kupata majibu na kuongeza ufahamu..Naomba kufahamu, iwapo raisi asipo kuwepo madarakani kwa namna yoyote ile makamu wake ndie anaepaswa kua raisi labda? Na anakua hivyo kwa muda gani labda mpaka uchaguzi mkuu unaofuatia labda?
Naomba kufahamu, iwapo raisi asipo kuwepo madarakani kwa namna yoyote ile makamu wake ndie anaepaswa kua raisi labda? Na anakua hivyo kwa muda gani labda mpaka uchaguzi mkuu unaofuatia labda?
We bwege nchi yetu aiendeshwi kwa udini wala ukabila.bali inaendeshwa kwa katiba.yoyote achaguliwae ni sawa tu.shenz kabisa.Nashauri Makamu wa Rais awe Mkristo Mkatoliki na Waziri Mkuu awe Mkristo Mprotestanti au Makamu wa Rais awe Mkristo Mprotestanti na Waziri Mkuu awe Mkristo Mkatoliki.
Waziri Mkuu awe Mkenda au Kimei kuendana na kama Makamu wa Rais atakuwa Mprotestanti au Mkatoliki.
Kabudi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu anaweza kuwa Mkenda.
Au Lukuvi anaweza kuwa Makamu wa Rais na Kimei akawa Waziri Mkuu.
Au combination nyingine nzuri za Makamu wa Rais Mkatoliki na Waziri Mkuu Mprotestanti au Makamu wa Rais Mprotestanti na Waziri Mkuu Mkatoliki.
Bunge ndio liwe uwanja mkuu wa kufanya maamuzi haya, kwasababu uwiano wa kidini ndani ya Kamati Kuu ya CCM, hauendani na hali halisi nchini.
Halafu in the future, baada ya Rais Samia kumaliza vipindi vyake vya uongozi, tujaribu kuwa na Rais Mprotestanti, kwasababu Tanzania haijawahi kuwa na Rais Mprotestanti.
Ushauri huu usipofuatwa hakuna tatizo lolote. Maisha yanaendelea kwa amani na utulivu.
Sijasema kwamba nchi ina endeshwa kwa udini au ukabila. Najua kwamba serikali ya Tanzania haina dini wala ukabila. Ila jaribu usiwe too optimistic about human nature, theory inaweza kuwa tofauti na practice.We bwege nchi yetu aiendeshwi kwa udini wala ukabila.bali inaendeshwa kwa katiba.yoyote achaguliwae ni sawa tu.shenz kabisa.