PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

Mara Paa! Dr. Wilbrod Slaa makamu wa raisi JMT
Bado sana kwa mtu kama huyo na bahati mbaya dizaini ya watu kama huyo wote wanachujwa.

Makamu anatoka mikoa ya nyanda za juu kusini now yupo njiani kurudi nchini.
 
Hivi hili suala la dini huwa liko sirias hivi?
 
Usijifunge kuwaza ukawa umeishia hapa sifa kuu ya mtu kuaminiwa ni uadilifu imani ya kidini haihusiki hata kidg tumesha wahi kuwa na viongozi wapagani na mambo yalienda mpaka palipofikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…