Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

Picha: Manhattan ya Sinza(crib) ya Martin Kadinda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
kadinda.jpg
Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza.

Alipost hii picha juzi kwenye mtandao wa instagram baada ya kundi la watu kuibuka na kumtukana manager huyo kuwa hafai kuwa role model na maneno mengine machafu ambayo hayana maadili. Matusi hayo yalikuja baada ya manager huyo ku post picha yake huku akiwa ameacha kitovu chake nje.

Martin aliwajia juu watu hao na kuwaambia kuwa wengi wao wanaomponda mtandaoni hawana maisha wala elimu,hivyo wanachofanya ni kujifariji kama sio kujipooza machungu ya ugumu wa maisha kwa kumponda yeye (martin) ambaye anadai ana maisha mazuri kuliko hao wanaohangaika kumtukana mitandaoni wakati hata hawamjui.
 
mwallu
Kaacha kum manage wema, siku izi ana mmnage lulu, binamu na wewe upo wapi umbea unakukosa ivi?
 
Last edited by a moderator:
Huyo martin hiyo kaz ya umeneja ndo ndan.kuwe hivo mh mbona naona mazingaombwe
 
Huyo martin hiyo kaz ya umeneja ndo ndan.kuwe hivo mh mbona naona mazingaombwe

Wasanii wenyew anao wa manage kazi zao hazijulikani, toka alivyo mmnage wema hadi anamuacha hakuna ata movie moja au kazi aliyomsimamia zaidi ya kumkuwadia kwa wanaume

Labda kazi zake za mitindo zinamlipa, ila apo madanga lazima yahusike, maana martin kwa kupenda wanaume wenye hela hajambo na lisula lake kama maiti iliyokaa mochwari mwaka mzima mfyuu
 
warumi

Ahhhhha eti na.lisura lake kama mait ahahhha me ndo naduwaa hapa kama.si kushangaa kwa kaz gan nzur sana ndani kue hivyo labda hiyo ya kupenda wanaume wenye hela itakua inamlipa sana bila shaka nina.was was na ile ya kushikishwa ukuta aha aha
 
Last edited by a moderator:
Afadhali kumbe ana akili zake tuu....!

Jamaa yupo smart sana kichwan,kajenga nyumba yake ana gari lake, ana mtoto, na ana maisha mazuri tu na biashara nzuri, umaarufu unaompa madili mjini, yan jamaa yuko poa sema ndo vile uko nyuma hapafai bimamu
 
Hata mambo ya mitindo inamlipa kiasi chake, hata akitak kwenda south kula bata anaenda, ila madanga nao wana nafas yake, maana alihongwaga s5 na mwanume akagongwa wee

Hivi haya muna uhakika nao au ndiyo mambo ya vijiweni?? Mwenye tukio halisi aliweke hadhani ili tuwe na uhakika kweli jamaa ni bwabwa, hizi story za kusikia tu anamegwa anamegwa lakini hakuna tukio hata moja liliwahi kusemwa kuwa alimegwa sehemu fulani na fulani!! Kwani si mnatumia ID fake, mwageni nyuuuz hapa tupate uthibitisho
 
warumi
Mbona kama kiberiti na njiti zake.Hapo ukistuka usiku kwenja kukojoa si full kujigonga vidole na kuangusha vitu.Au huwa analala taa inawaka?
 
EEh vipi tena ndugu yangu? Tafadhali kidole na macho kijana, kwani vip mbona unahangaika sana? Kama vip si upite tu, mambo ya kuleta habar za ukoloni apa hatutaki
 
Mbona kama kiberiti na njiti zake.Hapo ukistuka usiku kwenja kukojoa si full kujigonga vidole na kuangusha vitu.Au huwa analala taa inawaka?

Kanyumba kenyew kadog mno, imejibana sana si unajua vya bure ndugu yangu
 
Jamaa yupo smart sana kichwan,kajenga nyumba yake ana gari lake, ana mtoto, na ana maisha mazuri tu na biashara nzuri, umaarufu unaompa madili mjini, yan jamaa yuko poa sema ndo vile uko nyuma hapafai bimamu

Mola amnusuru jamani....lijidume la nguvu kama lile kuzibuliwa mtaro..!??? Mola amponye....!

Halafu nasikia alifiwa...sijui kashamaliza eda...manake nasikia alijiliza hatariiii....dunia hiii....!
 
Back
Top Bottom