Mi mda wa kuvaa sina mwenzangu , ntapata wapi kwanza uo mda? Na umbea ntapiga saa ngapi na hayo mambo ya selfie ntajipiga saa ngapi? Hayo mambo mi tupa kule apa umbea tu
Nguo za minadani za mia tatu zinanitosha
alikua close sana na jack cliff cjui kama anampango wowote wa kumsaidia huko macau??? alafu jack cliff aliwai kupost akifa kila kitu aulizwe martin kadinda nn siri ya huo msemo wa jack cliff???
Ayaaaaaaaaaaa
Kweli warumi naskia si rizki
Sasa ivi mbona nawapotezea, kuna mtu nae kanifungulia thread uko ya ajabu ajabu anatak nimtukane nile ban mbona kafeli
Nguo za minadani za mia tatu zinanitosha
kweli wanafaidi wala tope,kitovu kama cha Madame...huyu akikosa soko ataanza piga picha kuonyesha makalio tu..time will tellKitovu hiki?????
Sio kikubwa iseeee
za kike au za kiume?Nikinunua napeleka kwa fundi cherehan kushonwa upya
Za kiume mkuu, mbona umeuliza? Ina maana nguo za kiume hazishonwi au?