Eeh makubwa kwa hyo zinafanywaje labda? Ebu ngoja atufafanulie labda sie washamba
Kuna watu walikuwa wanahoji jinsia yako humu, so si unajua curiosity killed the cat?Za kiume mkuu, mbona umeuliza? Ina maana nguo za kiume hazishonwi au?
Kuna watu walikuwa wanahoji jinsia yako humu, so si unajua curiosity killed the cat?
Kwani kuna kipi cha ajabu kwenye izo jinsia mbili? Naweza kuwa me au ke, zote jinsia tu sioni cha ajabu kinachowafanya washangae, ina maana hawajui k*ma au mb*o??