Picha: Martin, Aunty wazua utata ukumbini

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANAMITINDO maarufu Bongo , Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata. Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Klabu ya 71 , Tegeta - Kibaoni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuukaribisha mwaka iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame .

Mwanamitindo maarufu Bongo , Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wakiwa kwenye pozi tata. "Mh jamani huyu Aunt si ana mume ? Halafu si ana kibuzi chake kingine ? Huyu Martin naye imekuwaje tena , " alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.
 
Attachments

  • 1420443799690.jpg
    61.7 KB · Views: 6,192
Ndio hapo mtakaposhangaa kuwa hata ujaunene wa Aunti wa kwake ! stay tune kwa Ubuyu :drama:
 
Mhu!Kuna watu huwa hawana mipaka maishani,ni kama wadudu tuu...!moze iyoboooo
 
Duh! Kumbe Wema huwa anapelekaga SAFARI!

Kuna watu wanapenda kuchorwa kwenye magezeti jamani khaaa! Wanatafuta kila namna ili mradi tu
 
Hapo kwenye picha isijekua anaangalia picha za ndomo na zari sasa martin na aunt ndio wanateta hapo....
Uwiiiii hata kama ningekua mimi nisingeweza kuvumilia yale mapicha kiukweli...

halafu zari yupo classic sana, yani picha zake ukimuona yani kama kim vile, madam kashaoza akajifananishe na akina mwantumu wa kule tandika zari ni maji marefu
 
halafu zari yupo classic sana, yani picha zake ukimuona yani kama kim vile, madam kashaoza akajifananishe na akina mwantumu wa kule tandika zari ni maji marefu

Haha haaaa,uwiiiii jamani warumi umenichekesha sana.
Zari habari nyingine bwana,team wema walivyo na wivu na lile guu lake eti wanamuita Zari matende!
 
Last edited by a moderator:
halafu zari yupo classic sana, yani picha zake ukimuona yani kama kim vile, madam kashaoza akajifananishe na akina mwantumu wa kule tandika zari ni maji marefu

.... aaah, mi nlidhani mwantum "my he zaa "
 
halafu zari yupo classic sana, yani picha zake ukimuona yani kama kim vile, madam kashaoza akajifananishe na akina mwantumu wa kule tandika zari ni maji marefu

Hahahaha eti kina mwantumu hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…