Mr Journalist
Member
- Aug 16, 2025
- 44
- 79
mnapatikana wapi?
ok vizuri, ila kama utaweza naomba uwe unapost na hizo picha mlizonazo hapo ofisin kwenu na bei ya kila moja wapo ili ikitokea mtu ameipenda anafanya order
Sawa but picha nyingi huwa zina sura za watu ambazo huwa hatupost.
Huwa tunapost hizi za Quotes na picha zisizo na sura halisi za watu maana hatuna ruhusa ya kupublish picha za watu halisi tusije kushitakiwa bure😃
oooo
oooh kumbe mnadeal na picha za watu pekeake?,, mi nikajua ni zile picha nyingine za mapambo ndo nilikua namaanisha uwe unazipost sorry
A1-A5 ndo nini mdau? Ni dimension ama? Nitumie ya mfano wa A1 & A4 niino
Yeah hizo ni Size