NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,079
Walau wewe unajua,sio wengine wanaropoka tu, hafu utakuta hayohayo yanayoponda do yameshakabidhi hata atm kadiWanaume wengi kwa wanawake Ni dhaifu sana, hivi unajua kwa nni Ummy na yule Waziri wa madini hawatumbuliwi? Sifaa kuu ya mwanaume ni kutumikia wanawake.
Hayo ni maisha yake, tumchunguze iweje? kwani amebaka? msafi ninani hayo mambo niya mtu na mtu wake.acheni wivu jamani nyie simnao wakwenu? hayo hayana kiongozbora mmetujuza wengine tulikuwa hata hatujui kitu,
kiongozi mkuu wa chama unakuwa mchafu kiasi hiki...?!
uadilifu wa kiongozi unapimwa kwa matendo yake, sasa unakuwa muhuni halafu wananchi utawaambiaje?utatushawishi kwa hoja gani?uaminifu umepungua.
wananchi wenzangu mwaka huu kamwe tusichague viongozi ambao sio waadilifu, tusichague wahuni, tujitahidi kupeleleza na kuchunguza maisha ya kila kiongozi kabla hatujawachagua ili tupate viongozi wenye uadilifu
kiongozi ni kioo,Hayo ni maisha yake, tumchunguze iweje? kwani amebaka? msafi ninani hayo mambo niya mtu na mtu wake.acheni wivu jamani nyie simnao wakwenu? hayo hayana kiongoz