Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Hivi ni nani tena alikujaga hapa akasema Nasari atamuoa Halima Mdee?
ni yeye mwenyewe nasari aliwahi kutania hivyo katika majukwaa ya kisiasaHivi ni nani tena alikujaga hapa akasema Nasari atamuoa Halima Mdee?
Hongera sana Mr and Mrs Nassari
kama wamefanana au kwa kuwa nimesahau miwani leoMkuu mi nimependa binti alitoka naturally hakupiga madikodiko ya kubadili rangi
Zitto anamuoa wema