Picha: Mbunge wa Hai akihutubia umati wa wananchi

Picha: Mbunge wa Hai akihutubia umati wa wananchi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara, wanasiasa mbalimbali wamejitokeza kufanya mikutano hiyo nchi nzima.

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saashisha Mafuwe akiungurumisha mkutano wa hadhara jimboni mwake mbele ya umati wa wananchi, hii ilikuwa mchana wa tarehe 13/07/2023.

FB_IMG_1689273724673.jpg
 
Back
Top Bottom