S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Oct 29, 2010 #1 Kuna picha jamaa yangu kanitumia nimeona bora nishee na wana jf nime attach kwenye ms word file. Attachments hapa ndipo CCM walipotufikisha asante CCM!.doc hapa ndipo CCM walipotufikisha asante CCM!.doc 1.4 MB · Views: 352
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 822 Oct 29, 2010 #2 mkuu hizi picha zilishawahi kupostiwa hapa jamvini...!
M mamanalia JF-Expert Member Joined Nov 7, 2009 Posts 666 Reaction score 146 Oct 29, 2010 #3 soo goooooood!!!!!!
boma2000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2009 Posts 3,279 Reaction score 310 Oct 30, 2010 #4 Hiyo attachment sikuitegemea iwe hivyo, Usisahau kupiga kura kwa kiongozi unadhani ndiye anafaa kwako
Hiyo attachment sikuitegemea iwe hivyo, Usisahau kupiga kura kwa kiongozi unadhani ndiye anafaa kwako
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Nov 3, 2010 #5 Somi said: Kuna picha jamaa yangu kanitumia nimeona bora nishee na wana jf nime attach kwenye ms word file. Click to expand... Do kwa kweli nimeangalia hii slide yaani kwa kweli picha nyingine zinasikitisha saa.
Somi said: Kuna picha jamaa yangu kanitumia nimeona bora nishee na wana jf nime attach kwenye ms word file. Click to expand... Do kwa kweli nimeangalia hii slide yaani kwa kweli picha nyingine zinasikitisha saa.