PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

Hi statement inafikirisha sana kwa wenye kutafakari
 
nyie mnaochinja watu mna heshima gani?

Dini ya kipuuzi sana
Sharia ya Kiislam ndiyo hukumu pekee inayompa fursa aliyeuwa kusamahewa na warithi.

Ukiona mtu kauliwa ujuwe warithi walikataa kumsamehe, walikataa fidia na wakaamua auliwe. Kumbuka ni warithi hao wenye maamuzi anapokutikana mtu na hatia.

Tena nchi zingine zinazofata sharia inatakiwa hao warithi ndiyo watimize hiyo hukumu na siyo kama kuna muuaji kaajiriwa alipe kisasi. Hii hupelekea 99% kutoweza kutimiza na kuishia au kusamehe au kuchukua fidia.

Kwa upande mwengine sasa, Tazama sheria yetu. Muuaji akikutwa na hatia anauliwa Kwa kunyongwa. Hakuna anaeweza kumsamehe isipokuwa Rais pekee na 99% hawajawahi kusàmehewa.

Pia huku kwetu kuna "mob justice" kibaka anaweza kupora simu tu, watu kama wewe mkampiga na kumuua hata kufikia kumchoma moto. Na hakuna anaechukuliwa hatua yoyote. Thubutu uuwe mwizi nchi za sharia.

Usome Uislam kijana, ni mwema sana usije na mihemko tu ya chuki za kujazwa ujinga.
 
Pogba ni muislamu mbona..ni wajibu wake kwa mujibu wa dini take...Ila I wonder how anakuwa na jina la kikristo kisha yeye ni muislamu??
Kwani maana ya jina ni nini mkuu? Si ni kuitwa na kuitikia tu? Mimi huwa siamini kwamba kuna jina la ki Islam na kikristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…