Picha: Mchungaji Msigwa akiwa Dkt. Musukuma

Picha: Mchungaji Msigwa akiwa Dkt. Musukuma

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
1000030848.jpg
 
Msukuma kawa Dr lini?na ni udokta wa fani gani?
 
Vibabu vijana vimekomaa km ngozi ya goti
 
Hakuna kutupiana maneno ya makasiriko!
Uvumilivu na kuvumiliana ni nguzo muhimu sana kwenye kukuza demokrasia
Umesema ukweli kabisa sio siasa tu hata ubinadamu wake pia.
 
Ni haki yake ya msingi kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine.

Thibitisha utapeli wake?
Hakika ni haki yake kabisa, ila ningependa ajikite zaidi kutangaza sera za CCM kuliko kila kukicha kuiongelea CDM. Kwani kwa mazingira aliyohama hapaswi kupoteza muda kukiongelea kila mara.
 
Hakika ni haki yake kabisa, ila ningependa ajikite zaidi kutangaza sera za CCM kuliko kila kukicha kuiongelea CDM. Kwani kwa mazingira aliyohama hapaswi kupoteza muda kukiongelea kila mara.
Mke ukimwacha ni jambo la kuendelea na huko uliko kwenda ukimsema sema na kumtizama anafanya nini tutasema bado unampenda,nimewaza tu.
 
Back
Top Bottom