Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Vicheko vya kinafiki na vya kujilazimisha.
Dr LoveMsukuma kawa Dr lini?na ni udokta wa fani gani?
Umesema ukweli kabisa sio siasa tu hata ubinadamu wake pia.Hakuna kutupiana maneno ya makasiriko!
Uvumilivu na kuvumiliana ni nguzo muhimu sana kwenye kukuza demokrasia
Hakika ni haki yake kabisa, ila ningependa ajikite zaidi kutangaza sera za CCM kuliko kila kukicha kuiongelea CDM. Kwani kwa mazingira aliyohama hapaswi kupoteza muda kukiongelea kila mara.Ni haki yake ya msingi kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine.
Thibitisha utapeli wake?
Mke ukimwacha ni jambo la kuendelea na huko uliko kwenda ukimsema sema na kumtizama anafanya nini tutasema bado unampenda,nimewaza tu.Hakika ni haki yake kabisa, ila ningependa ajikite zaidi kutangaza sera za CCM kuliko kila kukicha kuiongelea CDM. Kwani kwa mazingira aliyohama hapaswi kupoteza muda kukiongelea kila mara.