Picha: Mkutano wa Chadema Karatu watu walikuwa wengi kama mchanga

Hongeraaaa sana ,ila Nina masikitiko makubwa Kwa mambo yanayoendelea Kwa nini GODBLESS LEMA anawarudisha wasaliti, wahuniiii MSIGWA,HALIMA,NK Lema hiyo michezoo alikuwa anafanya MBOWE na genge lake ,Lema halima na Msigwa hawakusema jambo lolote wakati wa matukio ya kishenzi October.Kwanza halima inatakiwa afunguliwe mashtaka ya kuvunja katiba na kutumia fedha kwa manufaa yao.
 
HALIMA bado anaipenda sana CHADEMA. Ndo maana unaona hakuhama chama, wala kukisema vibaya. Msingwa Mmmh ngoja muda utasema
 
HALIMA bado anaipenda sana CHADEMA. Ndo maana unaona hakuhama chama, wala kukisema vibaya. Msingwa Mmmh ngoja muda utasema
Uzalendo ni kama LISSU angetaka fedha angechukua Kwa Abdul ,halima na wenzake walikwenda kwenye bunge haramu.Lakini pia kamati kuu ilishawavua uanachama !!Huyu ni msaka fursa kama anakipenda chama angekataa huo upupu wao .Pia watuambie nani Alison barua zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…