Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hasira za vikwazo huyo alikuwa mtu wa kwanza kupigwa pini na Ulaya marekani mali zakeAsante mkuu// Huyo ndio anakinukisha kiev mamaeeee
cha ajabu mzanzibari anakula mema 😁😁Vamizi alofanya Putin na jeshi lake Ukraine ni sawa na vamizi alofanya Nyerere Zanzibar. Ndiyo maana CCM walikataa kukemea uvamizi wa Ukraine kule UN.
Huyu nae ninani?
Ni jenerali au kapteni?
Ni luteni usuNi jenerali au kapteni?
Huenda alikuwa kambi ya pili ya wasio julikana na putinInterestingly, Dmitry Ustinov (1908-1984) had no prior military career before he became the Defense Minister in 1976!
Huenda alikuwa kambi ya pili ya wasio julikana na putin
Sergei Shoigu mwenyewe hakuwa mwanajeshi katokea kwenye uhandisi uko akapitia Wizara ya dharura na kuja Wizara ya UlinziInterestingly, Dmitry Ustinov (1908-1984) had no prior military career before he became the Defense Minister in 1976!
Sergei Shoigu mwenyewe hakuwa mwanajeshi katokea kwenye uhandisi uko akapitia Wizara ya dharura na kuja Wizara ya Ulinzi