heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani unamanisha MTAMBO AU?Huyo mlinzi mbona kama hamnazo
Yaani unamanisha MTAMBO AU?
Mmh hilo mtambo hata sijui kwa kweli, we unaonaje
aisee huu uandishi wa kiumeni kweli?..................
hii thread nyingine na maada nyingine naona kuna kitu unanitafuta endelea mkuu
Alafu nimeanza kuhisi diamond kweli ni freemason kama watu wasemavyo,nilikuwa namchukua lkn siku hizi ghafla nimekuwa shabiki wake
Najua unachokitaka..maana sio bure ukaning'ang'ania hvyo mwanaume mwenzio. Kama unatak niwe gentleman basi wewe utakuwa lady halafu utajua kitakachotokeai want you to be a gentlemen
Swali la kizushi does he realy need kuwa na baunsa wake huyo all the time,coz sikumbuki jay z,michael jacksona wala akon lini nimewaona bodyguards zao.