Unajua huyu jamaa hajailewa JF anaifananisha na Kale kaishu ka Mark Zuckerberg,,Ngoja waje wazee wenyewe wa humu watamnyoosha Sijui kina BujiBuji wamelala?Unatowekea mapicha ya wewe na huyo wema ,,Hivi watu wengine tukikuonyesha Sura zetu humu Ndani unadhani patatosha?Stupid