PICHA MPYA -kifesi(HOD) KAZINI

PICHA MPYA -kifesi(HOD) KAZINI

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
kifesi-busy.jpg
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work.
[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]thus why naipenda kazi yangu..
[/FONT]kifesi--wcb.jpg[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]
AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850
[/FONT]
 
We mtoto wa kiume. Mipicha mingi ya nini kama muuza sura bwana.
 
View attachment 147923
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work.
[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]thus why naipenda kazi yangu..
[/FONT]View attachment 147929[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]
AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850
[/FONT]

Ni lazima ukunje Ndita za kwenye paji la uso unapopiga Picha?
 
Dah watu mnatafuta umaarufu kwa shida so wewe ni celeb maana hili ni jukwaa la celeb... unatuburudisha nn au na disi tuanze tupia picha humu tukiwa maofisini kwetu.

Ungetaka kujitangaza basi nenda jukwaa la Matangazo madogo madogo utangaze hiyo kazi yako.
 
warumi muweke na huyu kwenye list ya watu wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya watu.
 
Last edited by a moderator:
Mi niambie tu maana ya kuonesha vidole kama bastola, au wewe CHADEMA?
 
View attachment 147923
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work.
[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]thus why naipenda kazi yangu..
[/FONT]View attachment 147929[FONT=arial, helvetica, clean, sans-serif]
AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850
[/FONT]

Jamani billionaire wetu Diamond aka muuza mashati na kofia, tuwekee basi picha ya ndomo na mama ubaya wakifanya yao chumbani.
 
warumi muweke na huyu kwenye list ya watu wanaotafuta umaarufu kupitia migongo ya watu.

Wadau walisema hana hadhi ya kuwa celeb na wala hafahamiki zaidi ya kufahamika na wacheza shoo wa diamond.
 
Last edited by a moderator:
Wadau walisema hana hadhi ya kuwa celeb na wala hafahamiki zaidi ya kufahamika na wacheza shoo wa diamond.

Hahahahah Jana hukuweka picha ya nyumbani wanapoishi....
 
HOD wakuwaaaacheeee we bonge la Cereblity jamii we weka pichaaa banaaaa
 
Jamani billionaire wetu Diamond aka muuza mashati na kofia, tuwekee basi picha ya ndomo na mama ubaya wakifanya yao chumbani.

Heeeee hahhhhahhhha aise ila atuwekeee tuonee banaa utakua hua anakunjwa style ya kunya popo hahhhhahhhha
 
Kwa hatua uliofikia kukulamu ni kupoteza muda acha nihamie kwenye pongezi tu maana haitokuja siku ubadilike ivyo ndivyo ulivyo hongera kwa HOD nimekupa na LIKE pia,Nigeria kunani tena nimeona Platnumz kapaa ni show au video tujuze ambae uko jikoni pale WCB.
 
Umeonaa tumpe pongezii jamanii lol
 
Umeonaa tumpe pongezii jamanii lol

Maana kama kunangwa imetosha jamani imefika time apewe anacho stahili kama kuna mtu ana profile yake basi afunguliwe thread as celebrity na yeye ili YATIMIE na ikitokea kaonekana sehemu amefanya jambo lolote basi nae aanzishiwe uzi pia ameshakua seleburiti huyu,alafu leo kaandika kidhungu murua kabisa ila tunavunga hatujaona ilibidi tumpongeze kabadilika kwenye uandishi.
 
View attachment 147923
To be successful, the first thing to do is fall in love with your work.
thus why naipenda kazi yangu..
View attachment 147929
AND IKIWA BADO HUJAPATA TSHIRTS NA KOFIA ZA WASAFI NIGUSE 0762052850

BREAKING NEWZ:::Nasikia juzi kati umepigwa marufuku na Boss wako Mr Platnumz kuandika Habari zinazomuhusu Madame Miss Magazeti(Wema) au kitu chochote kuhusu mahusiano yao kati ya Mr Ngololo na Miss Magazeti, Nanukuu umeambiwa ufanye kilichokupeleka wasafi Classic mambo ya mapenzi yao waachie baba na mama, Hii ni kutokana kwa Post zako ambazo ulizipost instagram Kipindi cha Nyuma………………………….Mambo Ya BiRtHdAy Hayoooooo….
 
Back
Top Bottom