PICHA MPYA -kifesi(HOD) KAZINI

thubutuuuu eti anipige picha
kwani ni mpiga picha wangu au wa diamond?
 
Hahaaaaaa,unaniach hoi ujue Dinazarde!
Ila kweli huyu Msukuma sijui Mnyamwezi kajipanga sana.

"Nlikuwepo":bolt:

Msukuma mwenzangu huyu kajipanga we huoni ma camera hapo unajua yanapotokaa hee anayatoa America kwa Obamaa
 
Last edited by a moderator:
mamakibunju nakukubali sana uwa unajichimbia ila ukiibuka unakuja na vitu hoot..hii niliwahi kusikia yani alikula kichambo heavy huyu mtoto, sema tu ana moyo wa uvumilivu maana alikula maneno mazito kama ndio mie hata hiyo wasafi nahama

Me Ningehama Mji Mazee, yeye kaajiriwa kupiga picha n.k, Badala ya kushughulika na Mambo yaliyompeleka kaamua kujiingiza ktk Mambo ya Team, Team nani Sijui Team nani na Birthday akafanyiwa hivyo kuonyesha Msisitizo na Picha alileta, Ndipo Hapoo Boss Kubwa alipomwambia Fanya Kilichokuleta Wasafi Classic La Sivyo jiji litakushinda ….Fikiria katoto Kadogo kanakutoa nishai kisa Faranga Mwanawani…MZEE KASEMA………………………..!
 

Kwa jinsi huyu alivyo binamu, siku si nyingi kibarua kitaota Nyasi, mwenzake Rommy Jones hata hana mda wa kujitangaza kuwa yupo karibu na Diamond, siye wenyewe tunaona, ila mwenzangu na mie anavyo force ajulikane anafanya kazi wasafi mmh kazi ipo
 
Lipgloss uliyopaka imekupendeza, ni brand gani???







Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Acha uwoga wewe tupia threads za kutosha na mipicha kila upatapo nafasi kumbuka umu ndani wewe ndo mbabe maana unajianzisha uzi na unarefuka kila dakika hata Platnumz uyo bosi wako akiandika kitu watu wanamnanga ila anakaza na leo ndio habari ya mujini wewe endelea kufanya yako soon watakua mashabiki wako ila usitukane sasa maseleburiti na matusi ni tofauti hasa ukiwa hatua za mwanzo wajibu kwa upole ila sipati picha ufalme wako utakuaje haaaahaa haaahaa sema utoe na updates muhimu za boss wako mfano Nigeria kaenda kufanya nini weka na picha pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…