Picha: Mr and Mrs Raqey Mohammed

[emoji23][emoji23][emoji23]
Umwage basi kabisa ubuyu binamu?
Mmh mwenzangu makubwa, nisije tia doa ndoa ya watu binamu, mmh ila soon nitaropoka, maana warumi najijua jaman kwa umbea looh
 
Mange eti alisema yule mmiliki wa homeshoping center anammega sarah, jaman nyie mange,ndoa yake imemshinda anatak kuaribu ya watu
Binamu utapigwaaaaa! Umenikumbusha zile iphone 6 zilizogawiwa bure siku ile...... hivi warumi hukialikwa?
 
Binamu utapigwaaaaa! Umenikumbusha zile iphone 6 zilizogawiwa bure siku ile...... hivi warumi hukialikwa?
Looh sio kwa futar ile, binamu ile shughuli ya watu wenye pesa zao mie kapuku naanzaje kualikwa ,sio kwa i phone zile binamu looh au fake
 
Looh sio kwa futar ile, binamu ile shughuli ya watu wenye pesa zao mie kapuku naanzaje kualikwa ,sio kwa i phone zile binamu looh au fake
Acha tu binamu, niliskia mpaka kutetemeka kwa wivu, iphone niliyoitafutia mpaka kibabu cha kizungu ili tu niimiliki na ikashindikana, nikaishia kununuliwa duro, leo hii mutu anagawia watu bureeeeeeeeee (in katarina wa karatuz voice) niliskia hadi kulia
 
Mi mwenyewe nakwambia nilikazana walau nimiliki I phone fake nayo ikashindikana nikaambulia kumiliki infinix, yan nilivyosikia wanagawa simu bure utumbo ulicheza binamu loh watu wanajua kufanya kufuru
 
Mbona hatuwafahamu....???
 
Mbona hatuwafahamu....???
huyo raquey ni mpiga picha maarufu mjini anawapiga picha mastaa wakubwa kama diamond, jide,wema hata waheshimiwa,inshort huyo raquey ni mpiga picha first class mjini, watu wengi wanamfahamu,pia idris kabla ya kwenda BBA alikua anafanya kazi kwa huyu jamaa
 
Mbona mke hajajisitiri kwa kufuata maadili ya imani yetu? Hilo ni tatizo kubwa kuliko hata kubwatizana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…