Ahahah eeh jaman walimwengu hatukosi kasoro loh,nimekupenda buree, halafu watu wapole waogope binamu mhh mimi nina file la raquey ni shidaaaMbona mke hajajisitiri kwa kufuata maadili ya imani yetu? Hilo ni tatizo kubwa kuliko hata kubwatizana!
Binamu mdomo huo[emoji117] [emoji40] utavunja ndoa warumi na wale watoto bado wadogo ujue?Ahahah eeh jaman walimwengu hatukosi kasoro loh,nimekupenda buree, halafu watu wapole waogope binamu mhh mimi nina file la raquey ni shidaaa
Nakupendaga hapo tu hua unajiongezaBinamu mdomo huo[emoji117] [emoji40] utavunja ndoa warumi na wale watoto bado wadogo ujue?
Anauma na kupuliza...ndio umbea wenyewe huo.Mhhhhhh binamu ndio nini kusifia na kuponda kwa mpigo?
Mara hamna skendo,mara Raqey habari zako ninazo.
[emoji134][emoji134]