Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
Khe khe khe khe khe khe khe. Inauma aiseee
 
Acheni kudanganya watu na vistory vya kutunga! Leta source ya habari tujiridhishe siyo mnatulisha matango pori watu wazima. Hata kwa mtazamo tu wa kawaida kwa kuangalia picha hicho kitu hakiwezekani kwa MA hali yote hiyo, ni uzushi tu!!

Mrembo huyo, Nyalong Ngong Deng (17) kutoka eneo la Awerial, alikuwa na wachumba sita waliokuwa wanamtaka, ambapo kila mmoja alikuwa tayari kutoa mahali kubwa ikiwa ni pamoja na shilingi milioni moja za Kenya ambazo ni sawa na shilingi milioni 20 za Tanzania.

Akiwa amekaa kwa utulivu kando ya mumewe, tajiri mkubwa aitwaye Kok Alat katika ukumbi wa Freedom Hall jijini Juba, Ijumaa iliyopita, Novemba 9, binti huyo wa kabila la Dinka aliibua mshangao kwa watu waliokuwa katika sherehe hiyo.

Kulingana na utamaduni wa Dinka na Nuer, bei ya mahari kwa kawaida ni ng'ombe 20 hadi 40 hivyo binti huyo amendika historia ya pekee katika kabila lake kwa kuolewa kwa mahari ya ng'ombe 520 na vitu vingine vya thamani.
 
Huyu binti ni nzuri wacheni utani, na vile mahari vyenu vya million moja, mfyuuuuuuux, huyo ndo mwanaume sasa

Sijui sanchi na lichura lake atatolewa mahari kuku wangapi?
 
Huyu binti ni nzuri wacheni utani, na vile mahari vyenu vya million moja, mfyuuuuuuux, huyo ndo mwanaume sasa

Sijui sanchi na lichura lake atatolewa mahari kuku wangapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sanchoka atatolewa mahari ya madebe mawili ya kahawa tu plus kuku wa kisasa 100 tu unabeba mzigo
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
Mkuu punguza hasira...
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
Hahahahaha
 
Kwa sura ya huyo jamaa ni haki kung'oa bbebes kwa huo mkwanja!
Mungu hakunyimi vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…